Monday, March 16, 2020


Serikali ya Rwanda imeamua kuchukua tahadhari mapema kuhusiana na mlipuko wa virusi vya corona ambavyo vimeingia katika baadhi ya nchi.
Rwanda imeamua na kufikia maamuzi ya kutangaza kutoshiriki fainali za CHAN 2020 nchini Cameroon zinazotarajiwa kuanza April 4 2020 lakini pia na mechi za kuwania kufuzu AFCON 2021.
Fainali hizo za Cameroon zinatia hofu kutokana na nchi hiyo tayari hadi kufikia March 9 walikuwa wameripotiwa wagonjwa wawili wa corona kubainika.

0 comments:

Post a Comment