Tuesday, May 26, 2020



BAO la Mbwana Samatta anahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga ndani ya Aston Villa alilofunga November 5, 2019 Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool limechaguliwa kuwa bao la mwaka ndani ya Klabu yake ya KRC Genk.

 Samatta alifunga bao hilo wakati akikipiga ndani ya KRC Genk goli la kusawazisha wakati wakiwa nyumba kwa bao 1-0.


 Mchezo huo ulikamilika kwa timu yake kupokea kichapo cha mabao 2-1.

0 comments:

Post a Comment