Thursday, May 28, 2020

 


Baba wa kocha wa Aston Villa Dean Smith ambaye baba yake anafahamika kwa jina la Ron Smith afariki dunia akiwa na umri wa miaka 79, Ron afariki kwa kuugua Corona toka agundulike wiki nne zilizopita na kuwa hospitali kwa uangalizi.

Ron Smith kwa miaka sita iliyopita hakuwa sawa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu (dementia), katika historia ya mzee Ron aliwahi kuwa steward wa Aston Villa.

0 comments:

Post a Comment