Tuesday, May 5, 2020



KUNA watu wamekuwa wakishangaa inakuaje wachezaji mastaa wanakosa penalti wakati inaaminika wao ni wataalamu.
Si jambo rahisi kwa mchezaji kupiga penalti na kufunga. Kuna msemo unaosema ‘penalti hazina ufundi.’
Basi kutokana na hali hiyo, ndiyo maana tunashuhudia kuwa mchezaji yeyote anaweza kupata au kukosa penalti.
Gazeti la Marca limechambua wachezaji bora wa muda wote katika upigaji wa penalti ambao ni bora kwa kizazi cha sasa. Orodha yao hii hapa.

ANTOINE GRIEZMANN
Penalti alizopiga: 25
Alizofunga: 17
Alizokosa: 8
Amefanikiwa kwa asilimia: 68

LIONEL MESSI
Penalti alizopiga: 115
Alizofunga: 89
Alizokosa: 26
Amefanikiwa kwa asilimia: 77


SERGIO AGUERO
Penalti alizopiga: 59
Alizofunga: 46
Alizokosa: 13
Amefanikiwa kwa asilimia: 78

NEYMAR
Penalti alizopiga: 64
Alizofunga: 51
Alizokosa: 13
Amefanikiwa kwa asilimia: 80

MOHAMED SALAH
Penalti alizopiga: 16
Alizofunga: 13
Alizokosa: 3
Amefanikiwa kwa asilimia: 81

LUIS SUAREZ
Penalti alizopiga: 58
Alizofunga: 49
Alizokosa: 9
Amefanikiwa kwa asilimia: 82

HARRY KANE
Penalti alizopiga: 44
Alizofunga: 37
Alizokosa: 7
Amefanikiwa kwa asilimia: 84


CRISTIANO RONALDO
Penalti alizopiga: 143
Alizofunga: 121
Alizokosa: 22
Amefanikiwa kwa asilimia: 85


KARIM BENZEMA
Penalti alizopiga: 17
Alizofunga: 15
Alizokosa: 2
Amefanikiwa kwa asilimia: 88


EDEN HAZARD
Penalti alizopiga: 56
Alizofunga: 49
Alizokosa: 7
Amefanikiwa kwa asilimia: 88

0 comments:

Post a Comment