LEO Jumapili, Septemba 13. Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili.
Hizi hapa zitakuwa uwanjani:-
Ihefu v Ruvu Shooting, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Biashara United v Mwadui FC, Uwanja wa Karume, Mara.
Yanga v Mbeya City, Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment