Mshambuliaji
Vinicius Junior (kushoto) akipongezwa na mchezaji mwenzake, Marco
Asensio baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 65 ikiwalaza
1-0 Real Valladolid kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa
Alfredo Di Stefano Jijini Madrid
0 comments:
Post a Comment