KIKOSI cha wachezaji 24 kimewasili salama Abuja, Nigeria jana jioni kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United kesho
Mchezo huo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika utaonyeshwa LIVE na Azam Sports 1 HD
0 comments:
Post a Comment