FT:Biashara United 0-0 Simba
Dakika ya 82 Manula anaokoa hatari ya faulo iliyopigwa na Salum
Dakika ya 80 Manula anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 76 Nyoni anafanya jaribio linaokolewa na James
Dakika ya 74 Banda anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika ya 72 nyota wa Biashara United anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 68 Nyoni anakosa nafasi ya kufunga
Dakika ya 61 Nyoni anapeleka mashambulizi Biashara United
Dakika ya 58 Mhilu anaingia anatoka Dilunga, Peter Banda anaingia anatoka Inonga
Dakika ya 49 James anaokoa majal, Duncan Nyoni anaingia anatoka Bwalya, anaingia Zimbwe anatoka Kapombe
Dakika ya 46 Kennedy Juma anapewa huduma ya kwanza, Nzingha anaingia kuchukua nafasi ya Zuber wa Biashara United
Kipindi cha pili kimeanza
UWANJA wa Karume
LIGI KUU BARA
Mapumziko
Biashara United 0-0 Simba
Dakika 45 zinakamilika, Zinaongezwa 4
Biashara United 0-0 Simba
Dakika ya 44 Mpapi anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Dilunga
Dakika ya 41 Mwenda anapiga shuti linaokolewa na James
Dakika ya 40 Manula anaokoa hatari
Dakika ya 36, Bwalya anapiga kona haileti matunda na Kagere anakosa nafasi ya kufunga
Dakika ya 33 Kagere anakosa nafasi ya wazi pia nyota wa Biashara United Denis anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 baada ya kupaisha mpira
Dakika ya 29 Bwalya anapiga kona haileti matunda kwa Simba, Biashara United wanaanua majalo
Dakika ya 28, Omary Rashid wa Biashara United anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Inonga
Dakika ya 26 Israel Mwenda anafanya jaribio akiwa nje ya 18 linaokolewa na James
Dakika ya 21 Bwalya anajaza majalo yanakutana na mikono ya kipa James
Dakika ya 20 Bwalya anapiga kona ya kwanza haileti matunda, Kagere anafanya jaribio la kwanza kwa kichwa linakwenda nje ya lango
Dakika ya 16 Kenedy anamchezea faulo kipa wa Biashara United
Dakika ya 13, Bocco anacheza faulo
Dakika ya 12 Kenedy Juma anarejesha mpira kwa Manula anachezewa faulo
Dakika ya 11 Mangalo anaanua majalo
Dakika ya 9 Biashara United wanapata faulo Uwanja wa Karume Mara nje ya 18
Dakika ya 6 Kapombe anapeleka mashambulizi Biashara United
Dakika ya 4 Redondo anachezewa faulo
Dakika ya 3 Kapombe anaanua majalo baada ya Kennedy Juma kujichanganya.
Dakika ya 2 Dilunga anachezewa faulo
0 comments:
Post a Comment