WACHEZAJI wa Biashara United wakiwa mazoezini Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao wa kwanza Raundi ya Pili ya mchujo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya Ijumaa Saa 9:00 Alasiri Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment