Tuesday, October 12, 2021



NAHODHA wa timu ya taifa ya soka ya wanawake Tanzania, Twiga Stars, Amina Bilal akiwa ameshika Kombe la ubingwa wa michuano ya COSAFA baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimafaifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam.


Twiga iliwasili jana usiku na kupata mapokezi mazuri baada ya kuwaa ubingwa wa COSAFA kufuatia kuwachapa Malawi 1-0, bao pekee la Enekia Kasonga dakika ya 64 juzi Uwanja wa Nelson Mandela Bay Jijini Port Elizabeth.


0 comments:

Post a Comment