UCHAGUZI wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) umepangwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu mkoani Kigoma. Fomu kwa nafasinya Mwenyekiti ambayo kwa sasa inashikiliwa na Stephen Mnguto, Mwenyekiti wa Coastal Union ya Tanga zinatolewa kwa gharama ya Sh. 200,000 na nafasi za Ujumbe ni Sh. 100,000.
0 comments:
Post a Comment