DENNIS NKANE ATAMBULISHWA RASMI YANGA SC KLABU ya Yanga imemtambulisha kinda Denis Nkane kutoka Biashara United ya Musoma mkoani Mara kuwa mchezaji wake mpya wa tatu – akiwafuatia kipa Abdultwalib Mshery kutoka Mtibwa Sugar na kiungo Salum Abubakari ‘Sure Boy’ kutoka Azam FC.
0 comments:
Post a Comment