Tuesday, January 25, 2022

 


 


Dwight Howard wa Los Angeles Lakers amefikisha rebound 14,465 na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kumi kwenye Historia ya Ligi ya kikapu Nchini Marekani NBA kwa kuwa na rebound nyingi huku kinara akiwa ni Wilt Chamberlain (amestaafu) mwenye rebound 23,924.

Kwa upande mwingine, Rebound hizo 14,465 zinamfanya Howard kuwa kinara kwa wacheza kikapu wanaocheza (ambao hawajastaafu) NBA kwa sasa.

(Dwight Howard akitamba baada ya kufunga alama 2 kwenye mchezo wa wikiendi iliyopita na kuisaidia Lakers kupata ushindi kwenye NBA)

0 comments:

Post a Comment