Tuesday, January 18, 2022

 


NYOTA wa Bayern Munich, Robert Lewandowski ameshinda Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa mara ya pili mfululizo akiwapiku Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
Cristiano Ronaldo ameshinda Tuzo Maalum ya FIFA baada ya kuifungaia mabao 115 Ureno.


WASHINDI WA TUZO ZA FIFA 2022 

Mwanasoka Bora wa Kiume: Robert Lewandowski (Bayern Munich na Poland)

Mwanasoka Bora wa Kike: Alexia Putellas (Barcelona na Hispania)

Kocha Bora wa Kiume: Thomas Tuchel (Chelsea)

Kocha Bora wa Kike: Emma Hayes (Chelsea)

KIPA Bora wa Kiume: Edouard Mendy (Chelsea na Senegal)

Kila Bora wa Kike: Christiane Endler (Lyon na Chile)

Tuzo Maalum Mwanaume : Cristiano Ronaldo (Manchester United, Juventus na Ureno)

Tuzo Maalum Mwanamke: Christine Sinclair (Portland Thorns na Canada)

Tuzo ya Puskas: Erik Lamela (Arsenal vs TOTTENHAM HOTSPUR)

Tuzo ya Shabiki: Mashabiki wa Denmark na Finland

Tuzo ya Mchezo wa Kiungwana: Timu ya taifa ya Denmark/Timu ya Matabibu wa Denmark na makocha wao

KIKOSI BORA WANAUME ‘FIFPRO XI’:

Kipa: Gianluigi Donnarumma (AC Milan, Paris Saint-Germain)

Mabeki: David Alaba (Bayern Munich,Real Madrid), Leonardo Bonucci (Juventus) na Ruben Dias (Manchester City)

Viungo: Kevin De Bruyne (Manchester City), Jorginho (Chelsea) na N’Golo Kante (Chelsea)

Washambuliaji: Cristiano Ronaldo (Juventus,Manchester United), Erling Haaland (Borussia Dortmund), Robert Lewandowski (Bayern Munich) na Lionel Messi (Barcelona/Paris Saint-Germain)

KIKOSI BORA WANAWAKE ‘FIFPRO XI’:

Kipa: Christiane Endler (Paris Saint-Germain, Lyon)

Mabeki: Millie Bright (Chelsea), Lucy Bronze (Manchester City), Magdalena Eriksson (Chelsea) na Wendie Renard (Lyon)

Viungo: Estefania Banini (Levante, Atletico Madrid), Barbara Bonansea (Juventus) na Carli Lloyd (NJ/NY Gotham)

Washambuliaji: Marta (Orlando Pride), Vivianne Miedema (Arsenal), na Alex Morgan (Tottenham Hotspur, Orlando Pride, San Diego Wave) 


0 comments:

Post a Comment