MTIBWA SUGAR YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA MGANDA MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Mtibwa Sugar wameendelea kuimarisha kikosi chao kwa kumsajili mshambuliaji, Brian Mayanja kutoka Polisi ya kwao, Uganda.
0 comments:
Post a Comment