Wednesday, June 28, 2017





Details
Created: Wednesday, 28 June 2017 07:40
?
 

 Tanzania Jana ilitoka Sare 0-0 katika Mechi yake ya Pili ya Kundi A ya Mashindano ya COSAFA Castle Cup 2017 dhidi ya Angola iliyochezwa huko Royal Bafokeng, Rustenburg, Afrika Kusini.
Hii ni Mechi ya pili kwa Tanzania baada ya kuichapa Malawi 2-0 katika Mechi yao ya kwanza na inawafanya kuongoza Kundi A wakiwa na Pointi 4 wakifuata Angola wenye 4 pia huku Mauritius na Malawi zikiwa mkiani zikiwa na Pointi 1 kila mmoja baada ya mapema Jana kutoka 0-0.
Tanzania itacheza Mechi yake ya mwisho ya Kundi A dhidi ya Mauritius hapo Alhamisi huko Moruleng.
Mshindi wa Kundi A atakipiga na South Africa kwenye Robo Fainali.
FAHAMU:
Hii ni mara ya 3 kwa Tanzania kucheza Mashindano haya baada ya kushiriki yale ya 1997 na 2015.
Kundi B la Mashindano la 2017 COSAFA Castle Cup lina Nchi za Zimbabwe, Madagascar, Mozambique na Seychelles.
Nchi Wanachama wa COSAFA, South Africa, Swaziland, Botswana na Zambia wataanzia Hatua ya Robo Fainali ambapo South Africa itacheza na Mshindi wa Kundi A na Swaziland kucheza na Mshindi wa Kundi B wakati Botswana ikivaana na Zambia.
Mashindano ya COSAFA yalianzishwa Mwaka 1997 na Nchi za South Africa, Zambia na Zimbabwe kubeba Kombe mara 4 kila moja wakati Angola ikibeba mara 3 na Namibia mara 1.
TANZANIA – Kikosi kilichoanza:
Aishi Manula, Shomari Kapombe, Gadiel Michael, Salim Mbonde, Abdi Banda, Erasto Nyoni, Simon Msuva, Himid Mao, Elias Maguli, Mzamiru Yassin, Shiza Kichuya
Akiba: Beno Kakolanya, Hassan Kessy, Raphael, Salmin Hoza, Thomas Ulimwengu, Stamili Mbonde, Hamimu Abdulkarim, Nurdin Chona, Mbaraka Yussuf
MSIMAMO:
cosafa tebo2
2017 COSAFA CASTLE CUP

COSAFA CASTLE CUP, SOUTH AFRICA 2017

No
Match
GP
Date

K.O. Time

Venue / Lieu:



A
25/06/2017
15h00
Moruleng

1.

Tanzania

2

V
Malawi
0








2.
Mauritius
0
V
Angola
1
A
25/06/2017
17h30
Moruleng








3.
Msumbiji
0
V
Zimbabwe 4
B
26/06/2017
17h00
Moruleng








4.
Madagascar 2
V
Seychelles 0
B
26/06/2017
19h30
Moruleng








5.
Malawi
0
V
Mauritius
0
A
27/06/2017
17h00
Royal Bafokeng








6.
Angola
0
V
Tanzania
0
A
27/06/2017
19h30
Royal Bafokeng








7.
Zimbabwe
V
Madagascar
B
28/06/2017
17h00
Royal Bafokeng









8.
Seychelles
V
Msumbiji
B
28/06/2017
19h30
Royal Bafokeng








9.
Tanzania
V
Mauritius
A
29/06/2017
17h00
Moruleng








10.
Malawi
V
Angola
A
29/06/2017
17h00
Royal Bafokeng **








11.
Msumbiji
V
Madagascar
B
30/06/2017
17h00
Moruleng








12.
Zimbabwe
V
Seychelles
B
30/06/2017
17h00
Royal Bafokeng  **



 

QUARTER FINALS


 


13.
Botswana
V
Zambia
01/07/2017
15h00
Royal Bafokeng






14.
Namibia
V
Lesotho
01/07/2017
17h30
Royal Bafokeng






15.
South Africa
V
WIN. GROUP A
02/07/2017
17h00
Royal Bafokeng







16.
Swaziland
V
WIN. GROUP B
02/07/2017
19h30
Royal Bafokeng


REST DAY















17.
LOSER M13
V
LOSER M15
04/07/2017
17h00
Moruleng









18.
LOSER M14
V
LOSER M16
04/07/2017
19h30
Moruleng









19.
WIN. M13
V
WIN. M15
05/07/2017
17h00
Moruleng









20.
WIN. M14
V
WIN. M16
05/07/2017
19h30
Moruleng

REST DAY









21.
WIN. 17
V
WIN. M18
07/07/2017
17h00
Moruleng









22.
LOSER M19
V
LOSER M20
07/07/2017
19h30
Moruleng









23.
WIN. M19
V
WIN. M20
09/07/2017
15h00
Royal Bafokeng










DEPARTURE OF TEAMS AND OFFICIALS


10/07/2017




0 comments:

Post a Comment