Thursday, August 3, 2017

Kiungo Juan Mata akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 81 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Sampdoria usiku wa jana Uwanja wa Aviva mjini Dublin. Henrikh Mkhitaryan alianza kuifungia United dakika ya tisa, kabla ya Dennis Praet kuisawazishia Sampdoria dakika ya 63 katika mchezo huo ambao, kiungo mpya, Nemanja Matic aliyesajiliwa juzi kutoka Chelsea kwa Pauni Milioni 40 alicheza kwa mara ya kwanza

0 comments:

Post a Comment