Ulimwengu wa soka leo umepata pigo jingine baada ya kumpoteza mchezaji wa kimataifa wa
Ivory Coast aliyokuwa anaichezea
Beijing Enterprises Cheick Tiote, leo zimeripotiwa habari za kufariki kwa golikipa wa club ya
Rayon Sports ya
Rwanda Evariste Mutuyumana.
Golikipa wa
Rayon Sports Evariste Mutuyumana amefariki dunia baada ya kupata tatizo la kushindwa kupumua vizuri, kama utakumbuka vizuri
Evariste Mutuyumana ni miongoni mwa wachezaji wa
Rayon waliyokuja
Tanzania kucheza na
Simba katika mchezo wa
Simba Day.

Evariste Mutuyumana
Evariste Mutuyumana ndio golikipa wa
Rayon Sports aliyedaka katika mchezo wa
Simba Day August 8 2017 uwanja wa
Taifa Dar Es Salaam na
Simba kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na kiungo wao
Mohamed Ibrahim dakika ya 16.
0 comments:
Post a Comment