LIVERPOOL WAKIJIANDAA KUIVAA SEVILLA LIGI YA MABINGWA LEO Mohamed Salah (wa pili kulia) akifurahia na wenzake mazoezini jana wakati Liverpool ikijiandaa na mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji, Sevilla Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla leo usiku
0 comments:
Post a Comment