
Hata hivyo mtandao wa express.co.uk umeripoti kuwa inawezekana Luka Modric asiendelee kuichezea tena Real Madrid na kuamua kurudi England kuungana na kocha wake wa zamani wa Real Madrid Jose Mourinho ambaye kwa sasa anaifundisha Man United.

Pamoja na kuwa mtandao wa Don Balon wa Hispania umeripoti na kuipa nafasi Man United ya kumsajili Modric mwisho wa msimu, vilabu vya Liverpool na Arsenal vinahusishwa kuhitaji saini ya Luka Modric pia.
0 comments:
Post a Comment