Mshambuliaji
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibinuka tik tak kuwafungia Los
Blancos bao la pili dakika ya 64 baada ya kufunga la kwanza dakika ya
nne katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Juventus kwenye mchezo wa
kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa
Allianz mjini Turin. Bao la tatu la Real Madrid lilifungwa Marcelo kwa
pasi ya Ronaldo, huku Juventus ikimpoteza mchezaji wake, Paulo Dybala
aliyetolewa nje kwa kadio nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya
njano dakika ya 66 kufuatia kumuinulia mguu kichwani Dani Carvajal
Home
»
»Unlabelled
» RONALDO AFUNGA BAO BORA LA MUDA WOTE LIGI YA MABINGWA...REAL YAIPIGA 3-0 JUVE TURIN
Wednesday, April 4, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment