Shane Duffy (kushoto) wa Brighton & Hove Albion akiwa juu kuwania mpira na Harry Kane wa Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa The AMEX, Falmer, East Sussexnd timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Kane alianza kuifungia Spurs dakika ya 48 kabla ya Pascal Gross kuwasawazishia wenyeji kwa penalti dakika ya 50
Home
»
»Unlabelled
» SPURS YACHOMOLEWA KWA PENALTI, SARE 1-1 BRIGHTON & HOVE ALBION
          Wednesday, April 18, 2018
          
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment