Marcelo Brozovic akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la tatu dakika ya 60 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Cagliari
kwenye mchezo wa Serie A usiku wa Jumanne Uwanja wa Giuseppe Meazza
mjini Milan. Mabao mengine ya Inter yamefungwa na Joao Cancelo dakika ya
tatu, Mauro Icardi dakika ya 49 na Ivan Perisic dakika ya 90
Home
»
»Unlabelled
» INTER MILAN MOTO CHINI, YAIFUMUA CAGLIARI 4-0 SERIE A
Wednesday, April 18, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment