Mshambuliaji
Jhonder Cadiz akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Dijon dakika
ya 47 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Paris St Germain kwenye mchezo wa
Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Gaston-Gerard mjini Dijon.
Paris St Germain ilitangulia kwa bao la Kylian Mbappe dakika ya 19 kabla
ya Mounir Chouiar kuisawazishia Dijon dakika ya 45
Home
»
»Unlabelled
» MBAPPE AFUNGA LAKINI PSG YAPIGWA 2-1 NA DIJON LIGI YA UFARANSA
Saturday, November 2, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment