Kufutia
kuibuka kwa sintofahamu baina ya Antonio Nugaz na Hassan Bumbuli juu ya
nyadhiza zao, imeelezwa wazee na baadhi ya wadau wa Yanga wametaka cheo
cha Ofisa Uhamasishaji kifutwe.
Taarifa
zinaeleza kuwa wazee na wadau hao wameona hakuna haja ya kuwepo kwa
cheo hicho kutokana na kutokuwepo kwenye katiba ya klabu hiyo.
Mapendekezo
haya yankuja kufutia wawili hao, Nugaz na Bumbuli kila mmoja kujiita ni
Ofisa Habari wa klabu nafasi ambayo amepewa Bumbuli.
Ikumbukwe
Nugaz hivi karibuni alipewa cheo cha Uofisa Uhamasishaji ndani ya Yaga
ambayo wazee hao wameona haina haja ya kuwepo na hii ni baada ya
kutofautiana kwa kauli baina yao wawili.

0 comments:
Post a Comment