Mshambuliaji
wa Juventus, Cristiano Ronaldo akisikitika baada ya kupoteza nafasi
nzuri ya kufunga dakika ya 80 kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora
Ligi ya Mabingwa Ulaya wakichapwa 1-0 na wenyeji, Lyon usiku wa jana
Uwanja wa Groupama, Decines-Charpieu bao pekee la Lucas Tousart dakika
ya 31. Timu hizo zitarudiana Machi 17 Jijini Torino
Home
»
»Unlabelled
» RONALDO AKOSA 'BAO LA WAZI' JUVE YACHAPWA 1-0 NA LYON UFARANSA
Thursday, February 27, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment