june2 2017
Makipa wa Taifa Stars kutoka
kushoto, Said Mohammed, Aishi Manula na Benno Kakolanya wakivuta pumzi
baada ya mazoezi ya timu ya Tanzania ya Mpira wa Miguu ‘Taifa Stars’
yaliyofanyika jana usiku kwenye Uwanja wa Tolip Sports City jijini
Alexandria jana usiku Mei 31, 2017. Taifa Stars inayodhaminiwa Bia ya
Serengeti kutoka Kampuni ya Bia ya SBL, inajiandaa kushindana na Lesotho
Juni 10, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya
kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019
zitakazofanyika Cameroon.
Makipa wa Taifa Stars kutoka
kushoto, Aishi Manula na Benno Kakolanya wakivuta pumzi baada ya mazoezi
ya timu ya Tanzania ya Mpira wa Miguu ‘Taifa Stars’ yaliyofanyika jana
usiku kwenye Uwanja wa Tolip Sports City jijini Alexandria jana usiku
Mei 31, 2017. Taifa Stars inayodhaminiwa Bia ya Serengeti kutoka Kampuni
ya Bia ya SBL, inajiandaa kushindana na Lesotho Juni 10, 2017 kwenye
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali za
Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika
Cameroon.
Wachezaji Erasto Nyoni, Gadiel
Michael na Simon Msuva wakijipanga katika mazoezi ya kumiliki na kutoa
pasi katika mazoezi ya timu ya Tanzania ya Mpira wa Miguu ‘Taifa Stars’
yaliyofanyika Uwanja wa Tolip Sports City jijini Alexandria jana usiku
Mei 31, 2017. Taifa Stars inayodhaminiwa Bia ya Serengeti kutoka Kampuni
ya Bia ya SBL, inajiandaa kushindana na Lesotho Juni 10, 2017 kwenye
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali za
Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika
Cameroon.
Wachezaji wa Stars kutoka
kushoto, Mohammed Hussein, Simon Msuva, Said Mohammed, Ibrahim Ajib na
Hassan Kessy wakionyesha faraja yao mara baada mazoezi ya nguvu
yaliyofanyika leo. Taifa Stars inayodhaminiwa Bia ya Serengeti kutoka
Kampuni ya Bia ya SBL, inajiandaa kushindana na Lesotho Juni 10, 2017
kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali
za Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika
Cameroon.
Wachezaji wa Taifa Stars
wakipasha joto miili yao kabla ya kuanza mazoezi ya nguvu kwenye Uwanja
wa Tolip Sports City jijini Alexandria leo asubuhi Juni 01, 2017. Taifa
Stars inayodhaminiwa Bia ya Serengeti kutoka Kampuni ya Bia ya SBL,
inajiandaa kushindana na Lesotho Juni 10, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya
Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon.
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum
Mayanga (kushoto) na Meneja wa timu hiyo, Danny Msangi wakiwashuhudia
wachezaji wa Stars wakipooza miili yao kwenye bwawa la kuogelea katika
Hoteli ya Tolip Sports City, Alexandria nchini Misri leo asubuhi Juni
mosi, mwaka huu. Taifa Stars inayodhaminiwa Bia ya Serengeti kutoka
Kampuni ya Bia ya SBL, inajiandaa kushindana na Lesotho Juni 10, 2017
kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali
za Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika
Cameroon.
Wachezaji wa Taifa Stars
wakipasha joto miili yao kabla ya kuanza mazoezi ya nguvu kwenye Uwanja
wa Tolip Sports City jijini Alexandria leo asubuhi Juni 01, 2017. Taifa
Stars inayodhaminiwa Bia ya Serengeti kutoka Kampuni ya Bia ya SBL,
inajiandaa kushindana na Lesotho Juni 10, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya
Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon.
Daktari wa Viungo wa Taifa Stars,
Dk. Gilbert Kigadye (kulia) akimchua kifundo cha mguu beki wa timu
hiyo, Mohammed Hussein Zimbwe maarufu kama Tshabalala katika mazoezi ya
timu ya Tanzania ya Mpira wa Miguu yaliyofanyika Uwanja wa Tolip Sports
City jijini Alexandria leo Juni mosi, 2017. Taifa Stars inayodhaminiwa
Bia ya Serengeti kutoka Kampuni ya Bia ya SBL, inajiandaa kushindana na
Lesotho Juni 10, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania
tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za
mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon.
Wachezaji wa Stars wakiwania
mpira katika mazoezi ya nguvu yaliyofanyika leo. Taifa Stars
inayodhaminiwa Bia ya Serengeti kutoka Kampuni ya Bia ya SBL, inajiandaa
kushindana na Lesotho Juni 10, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya Afrika
(AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon.
Wachezaji wa Taifa Stars wakipiga
jaramba kuendeleza na mazoezi ya nguvu kwenye Uwanja wa Tolip Sports
City jijini Alexandria leo asubuhi Juni 01, 2017. Taifa Stars

0 comments:
Post a Comment