Shabiki Bradley Lowery wa Sunderland alipoteza maisha wakati akipambana dhidi ya ugonjwa wa kansa.
Simanzi ilikuwa kubwa kwa mashabiki wa soka England na duniani kote.
Wakati
wa safari yake ya mwisho mtoto huyo aliyekuwa ana umri wa miaka sita,
mashabiki wengi walionyesha huzuni kubwa akiwemo mshambulizi mkongwe wa
Sunderland, Jermain Defoe.
Hiyo ndiyo safari ya mwisho ya Bradley.








0 comments:
Post a Comment