Mohamed
Salah akiifungia timu yake mpya, Liverpool bao la kusawazisha dakika ya
45 katika sare ya 1-1 na timu ya Daraja la kwanza, Wigan Athletic jana
Uwanja wa DW mjini Wigan akicheza mechi yake ya kwanza kabisa
baada ya kusajiliwa kwa dau la rekodi, Pauni Milioni 37 kutoka AS Roma
ya Italia. Alex Gilbey alianza kuifungia Wigan dakika ya 21
Home
»
»Unlabelled
» SALAH ALIPOFUNGUA AKAUNTI YAKE YA MABAO LIVERPOOL
Saturday, July 15, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment