Thursday, September 7, 2017


 Wachezaji wa timu ya taifa ya Uingereza

Mechi za kuendelea kusaka nafasi ya kucheza Fainali za kombe la Dunia mwaka 2018 zitaendelea tena mwezi Octoba raundi ya pili ya makundi.
Sweeden itaikabili Luxermburg, Oustria watachuana na Serbia, Uturuki dhidi ya Iceland, Italia ikutana na Macedonia, Hispania dhidi ya Albania, Montenegro na Dernmark, Moldova dhidi ya Wels ,Ujerumani na Ireland ya Kaskazini na England watakutana na Slovenia.
Barani Afrika,Oktoba 6 Mali na Ivori Coast , Morocco dhidi ya Gabon , Afrika Kusini na Burkina Faso , Caper Verde watamenyana na Senegal.
Ocktoba 7 Guinea itacheza na Tunisia, Libya dhdi ya DR Kongo , Nigeria na Zambia, Cameroon dhidi ya Algeria.

0 comments:

Post a Comment