Nyota
wa Real Madrid, Isco akishangilia baada ya kuifungia Hispania mabao
mawili dakika za 13 na 40 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Italia kwenye
mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi. Bao lingine la
Hispania katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid,
lilifungwa na Alvaro Morata wa Chelsea dakika ya 77
Sunday, September 3, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment