Beki
Eliaquim Mangala (katikati) akiwa mazoezini na wenzake jana Manchester
City ikijiandaa na mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya leo usiku
dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi. Mangala
anaweza kuanza katika beki ya kati leo kufuatia John Stones kuumia
mwishoni mwa wiki kwenye mechi dhidi ya Leicester City
Home
»
»Unlabelled
» MANGARA KUZIBA PENGO LA JOHN STONES LEO MAN CITY
Tuesday, November 21, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment