Tuesday, November 14, 2017

Goffin alicheza mara moja na Novak Djokovic mwaka jana na alionyesha kiwango kizuri


Mchezaji namba saba kwa ubora nchini Ubelgiji David Goffin amemchapa Rafael Nadal katika fainali za ATP mjini London.
Goffin ambaye wengi hawakutarajia ushindi wake amechapa Nadal kwa seti 7-6 7-5 6-7 4-7 6-4.
Kabla ya mchezo huo Nadal alilalamikia maumivu ya goti lake lakini akasema atajitahidi kushinda.
Nadal ameelezea kusikitishwa kupoteza mchezo huo, lakini amesifia kiwango cha Goffin na kwamba alistahili kushinda.
Goffin alikosekana uwanjani kwa muda mrefu kutokana na majeraha ya mara kwa mara

0 comments:

Post a Comment