Real Madrid wameamua kumuuza mshambuliaji wa Wales, Gareth Bale, 28, mwishoni mwa msimu. (AS - in Spanish)
Aliyekuwa mchezaji wa Tottenham na Southampton Bale anaweza kurejea katika Premier League ikiwa atafurahia kufanya hivyo. (Mirror)

Mshambualiaji wa Atletico Antoine Griezmann amesema kuwa ana nia ya kuhamia Paris St-Germain. Anasema kuwa kucheza klabu moja na Neymar na pia Kylian Mbappe itakuwa ndoto. (Telefoot via the Independent)

Rangers wanamwinda meneja wa Northern Ireland Michael O'Neill, 48, ambaye pia anatafuwa na Scotland. (Telegraph)
Meneja wa Wales Chris Coleman, 47, ataihama timu ya taifa ikiwa chama cha kandanda cha wales, hakitawa


Mshambuliaji wa Bolton Wanderers Gary Madine, 27, anataka mshambuliaji mwenzake Adam Armstrong, 20, kubaki klabu hiyo kwa mkopo kutoka Newcastle United. (Bolton News)
0 comments:
Post a Comment