MAN UNITED WAIFUATA ARSENAL KWA TRENI, SHUGHULI LEO EMIRATES Nemanja Matic (kushoto) akiwa na wachezaji wenzake wa Manchester United wakati wakisafiri kwa treni kwenda London kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya England leo dhidi ya wenyeji, Arsenal
0 comments:
Post a Comment