Mchezaji
mpya wa Barcelona, Philippe Coutinho aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni
145 akitambulishwa usiku wa jana akiwa amevaa jaketi la timu hiyo
Katalunya Uwanja wa Camp Nou. Lakini utambulisho rasmi wa mchezaji huyo
kwenye kwenye kikosi cha Ernesto Valverde unatarajiwa kufanyika leo
0 comments:
Post a Comment