Beki
wa Liverpool, Mholanzi Virgil van Dijk akikimbia kushangilia baada ya
kuifungia timu yake hiyo mpya bao la ushindi dakika ya 84 wakiichapa 2-1
Everton Uwanja wa Anfield na kutinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA.
Liverpool walitangulia kwa bao la James Milner kwa penalti dakika ya 35, kabla ya Gylfi Sigurosson kusawazisha dakika ya 65
Home
»
»Unlabelled
» VAN DIJIK AANZA NA BAO LA USHINDI LIVERPOOL IKIING'OA EVERTON FA
Saturday, January 6, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment