Saturday, January 20, 2018


Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiwa na mshambuliaji wake, Alexis Sanchez mazoezini leo viwanja vya Colney, London baada ya kumrejesha nyota huyo kikosi cha kwanza kuelekea mchezo na Crystal Palace kesho Uwanja wa Emirates. Ikumbukwe Wenger alimundoa Mchile hiyo kikosi cha kwanza na kwenda kufanya mazoezi na timu ya watoto akitarajia uhamisho wake kwenda Manchester United ungekamilika mapema

0 comments:

Post a Comment