Kikosi cha Yanga kimefikia katika Hoteli ya Reef Holiday ya nchini humo.
Hoteli hiyo ya nyota tatu ni kati ya hoteli bora kabisa kwa Shelisheli ukiondoa zile ambazo zaidi hutumika kwa ajili ya utalii.
Yanga ipo nchini humo kwa ajili ya mechi
yake ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya St Lois. Katika mechi
ya kwanza, Yanga ilishinda kwa bao 1-0.
0 comments:
Post a Comment