Monday, March 5, 2018


Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Aristide Bance (kushoto) akiwa mazoezini na mchezaji mwenzake wa klabu ya Al Masry ya Misri jana Uwanja wa Gymkhana mjini Dar es Salaam kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba SC Jumatano
Al Masry walifanya mazoezi ufukweni mwa Bahari ya Hindi jana  
Wachezaji wake walionekana ni wenye kujiamini pamoja na kuwa ugenini 
Kocha wa Al Masry, Hossam Hassan (wa pili kulia) akijadiliana na wasaidizi wake 
Wachezaji wa Al Masry wakati wanavaa kuingia mazoezini 
Tangu wamefika nchini wanatumia basi la klabu ya Azam FC

0 comments:

Post a Comment