Mshambuliaji
Muargentina, Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia
Barcelona bao pekee la ushindi dakika ya 26 ikiilaza 1-0 Atletico-Madrid
katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili Uwanja wa Camp Nou. Hilo
linakuwa bao la 600 kwa Messi tangu aanze kucheza mpira wa ushindani
0 comments:
Post a Comment