Kiungo
Mbrazil, Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza
dakika ya 25 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Crystal Palace leo Uwanja wa
Stamford Bridge, London. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Martin
Kelly aliyejifunga dakika ya 32, wakati la Palace limefungwa na Patrick van Aanholt dakika ya 90
Home
»
»Unlabelled
» CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE MABAO 2-1 DARAJANI
Sunday, March 11, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment