Mshambuliaji
Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester
United ndani ya dakika 10 ikishinda 2-1 dhidi ya Liverpool katika
mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford leo. Rashford alifunga dakika za 14 na 24, wakati Eric Bailly alijifunga dakika ya 66 kuipatia bao pekee Liverpool
Home
»
»Unlabelled
» RASHFORD ACHINJA JOGOO OLD TRAFFORD...APIGA ZOTE MAN UNITED YAUA 2-1
Sunday, March 11, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment