Luis
Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika
ya 15 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Malaga kwenye mchezo wa La
Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa La Rosaleda mjini Malaga, bao la pili likifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 28
0 comments:
Post a Comment