Thursday, March 8, 2018


Mshambuliaji mkongwe Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la kusawazisha dakika ya 64, kufuatia Son Heung-min kuanza kuwafungia wenyeji, Tottenham Hotspur dakika ya 39, kabla ya Paulo Dybala kuwafungia la ushindi wageni kutoka Italia dakika ya 67 wakiwalaza Spurs 2-1 Uwanja wa Wembley, London na kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa jumla wa 4-3, kufuatia sare ya 2-2 kwenye mchezo wa kwanza mjini Turi

0 comments:

Post a Comment