STERLING ALIKUWA ANAMPA SOMO GANI SOUTHGATE HAPA ? Kocha wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate (kushoto) akizungumza na mshambuliaji, Raheem Sterling wakati wa mazoezi ya kujiandaa na michezo ya kirafiki dhidi ya Uholanzi Ijumaa na Italia Jumanne ijayo
0 comments:
Post a Comment