Winga wa zamani wa Newcastle United, Florian Thauvin akishangilia baada ya kuifungia Olympique
Marseille bao la kwanza dakika ya 15 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya
Salzburg kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA ya Europa
League leo Uwanja wa Stade Vélodrome mjin Marseille. Bao la pili la Marseille limefungwa na Clinton N'Jie dakika ya 63
Home
»
»Unlabelled
» MARSEILLE YATANGULIZA MGUU MMOJA FAINALI EUROPA LEAGUE
Friday, April 27, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment