KOCHA
Mromania wa Azam FC, Aristica Cioba amesimamishwa hadi suala lake la
kumtukuna Mwamuzi baada ya mechi kumalizika litakaposikilishwa na Kamati
ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Uamuzi wa
kumsimamisha umefanywa kwa kuzingatia Kanuni ya 9(5) ya Ligi Kuu kuhusu
Usimamizi wa Ligi kutokana na makosa anayodaiwa kuyafanya katika mechi
namba 194 dhidi ya Njombe Mji.
Kabla ya kumtukana Mwamuzi, Kocha huyo aliondolewa kwenye benchi (ordered off) kwa kupinga maamuzi kwa maneno na vitendo katika mechi hiyo iliyochezwa Aprili 15, 2018 katika Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

0 comments:
Post a Comment