Harry
Kane akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao mawili England
dakika za 11 na 90 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tunisia
kwenye mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia Jumatatu Uwanja wa Volgograd
nchini Urusi. Bao la Tunisia limefungwa na Ferjan Sassi kwa penalti
dakika ya 35
0 comments:
Post a Comment