WINGA
chipukizi, Vinicius Junior alishindwa kuzuia machozi wakati anaichezea
mechi ya mwishi Flamengo kabla ya kwenda kujiunga na Real Madrid majira
haya ya joto.
Los Blancos inamchukua
kinda huyo Mbrazil kwa Pauni Milioni ambaye alionekana akipunga mkono
kuaga klabu yake ya iliyomkuza huku machozi yakimtoka katika mechi ya
ushindi wa 2-0 dhidi ya Parana Jumapili.
Mchezaji
huyo mwenye umri wa miaka 17, atajiunga rasmi na Real atakapotimiza
umri wa miaka 18 mwezi Julai na anatabiriwa kuwa mchezaji mwingine
mkubwa kutokea Brazil tangu Neymar.
Vinicius
Junior alishindwa kuzuia machozi wakati anaichezea mechi ya mwishi
Flamengo kabla ya kwenda kujiunga na Real Madrid majira haya ya joto
0 comments:
Post a Comment